Kalonzo Muyoka adai kwamba Naibu wa Rais William Ruto ni mtu wa hasira hivyo kutilia shaka uongozi wake #HabariZaSasa #MwashumbeNaShugaboy

Jul 5, 2022 · 7:05 AM UTC

9
4
19
Replying to @radiomaisha
Kalonzo ni mtu WA wazi wazi hawezi aminiwa na hata Bibi yake
Replying to @radiomaisha
Kigeugeu je?
1
Replying to @radiomaisha
Afadhali ukuwe na hasira kuliko kuwa kigeugeu @skmusyoka
Replying to @radiomaisha
Good morning nyosh Ungwaro stage 2 tuko ndani 🎼🎼🎶🎶🎼🎼 @NYOSHGATHU #Staarabika
Replying to @radiomaisha
Heri mwenye hasira than mwenye haeleweki kma Kalonzo, watermelon
Replying to @radiomaisha
#staarabika Mombasa is listening😍😍😍
Replying to @radiomaisha
Facts are exhausted..... Kuzimia mtazimia tu