Filter
Exclude
Time range
-
Near
Vee Mash retweeted
Toa maoni yako kuhusu baraza jipya la mawaziri na nyadhifa zingine za serikali mpya ya rais Ruto...#GoodEveningKenya
93
14
3
67
Jacob Kobia retweeted
Taja jina la mtu aliyekuwa mkubwa serikalini na ametoka huko kwenu....#GoodEveningKenya
50
8
1
51
MR CRAZY TV retweeted
Replying to @RadioCitizenFM
FRED MATIANGI, The best there was the best there is the best there will always be ....#GoodEveningKenya.
1
3
Replying to @RadioCitizenFM
#GoodEveningKenya JK Huku Kuna Hon Kenneth Marende salimia puchipuchi wa luanda esirulo mix-up supermarket Tuko nyuma yako
1
Replying to @RadioCitizenFM
Kwa sababu ya kiusalama Kamau usinitaje please 🙏 hapa kwetu Bumala B Enango hakuna kabisa mtu yeyote aliwahi kuwa serikalini wale walibaki ni wa busaa tu mtu na ambae tunajivumia kuwa serikalini ni sub-chief na tena ali retire Anaitwa Peter Otele 😄 🤣 😂 #Goodeveningkenya
@RadioCitizenFM Kamau Mzee wetu aliitwa JUSTUS KADET OLE TIPIS ulikua ukifanya makosa utalala kwa gari aina ya land Rover ya zamani ilikua hapo nje kwetu KFA 743 na alikua anapenda sana kutukemea na msemo huu YO "BLOODY YO NGIRIMITI" #GoodEveningKenya
Eng.Levis Odhiambo Mc'Onyango retweeted
Mmeshindaje siku ya leo? Karibu kwenye makala ya #GoodEveningKenya nami JK Kamau Munyua @nyambega_jared 8PM-12AM Uko wapi na unasikiliza na nani? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne
120
19
2
46
@radiocitizenfm kutoka malooi makueni.Jk huku kwetu kiongozi tajika ni Mutual junior,gavana wa makueni.tafadhali nichezee 'baba mdogo' yake mbaraka mwinshee #GoodEveningKenya
Through the mountains, through the sea through all the little dust of this world. Time stops, the past comes back #NedandAlex #ThdseRookieFe #GoodEveningKenya
3
264
Replying to @RadioCitizenFM
Aih!! Ktoka kitambo,Huku butula sub county hatuna kiongozi tajika Ata Enzi zile za mababu zetu na wahenga,sisi tuko tu,na hatulalamiki, makwara naskiza with 👉 Rakwari mkulima. 👉 Rakwari Kiara. 👉 Rakwari ongura #GoodEveningKenya
1
Replying to @RadioCitizenFM
Mamboz #KamaaJK Muhayil Saudi Arabia na kufuatilia tu sana mitandao yangu iligoma leo kufunguka #GoodEveningKenya
Replying to @RadioCitizenFM
Jk kwetu hapa Eldoret moiben constituency kulikua na mbunge Silas tiren. Alikua mbunge na alichulikana Sana, ametoka serikalini Tu juzi Eldoret tuko well represented Hadi tamati #GoodEveningKenya.
1
Replying to @RadioCitizenFM
Jk kwetu hapa Eldoret moiben constituency kulikua na mbunge Silas tiren. Alikua mbunge na alichulikana Sana, ametoka serikalini Tu juzi Eldoret tuko well represented Hadi tamati #GoodEveningKenya
1