Filter
Exclude
Time range
-
Near
utsman lee retweeted
Mgombea wa Urais wa Azimio Raila Odinga anatarajiwa kufanya kampeni za mwisho katika Kaunti ya Kisumu. #HabariZaSasa #MwashumbeNaShugaboy @sam_amany @mike_nyagwoka
7
11
Viongozi wateule wa Mrengo wa Azimio wanafanya mkutano katika Ukumbi wa KICC, Nairobi. Mwenyekiti wa Mrengo huo, Rais Uhuru Kenyatta ndiye anayetarajiwa kuuongoza @CallenOmae @BEATRICEMAGANGA @EK_Kirong #HabariZaSasa
1
3
13
Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa ajisalimisha katika kituo cha polisi cha Bungoma. Barasa amekuwa mafichoni tangu kutuhumiwa kumpiga risasi mlinzi wa mpinzani wake Brian Olunga. #HabariZaSasa #Staarabika
18
Sylvia Mercy Kibet retweeted
Endelea kutegea Radio Maisha kwa habari za hivi punde kuhusu uchaguzi na taarifa za kina. Tuko Mbele Pamoja #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio #MwashumbeNaShugaboy
3
12
Saidsulex retweeted
Mama Taifa wa Kwanza wa Kenya, Mama Ngina Kenyatta amepiga kura akiwa Shule ya Mutomo, Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
3
4
1
28
Shem Mauyo retweeted
Phelix Odiwuor, maarufu Jalang'o, ambaye ni mgombea wa ubunge wa Lang'ata ameonesha kidole chake baada ya kupiga kura. #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
2
6
43
Retweet retweeted
Kiongozi wa KANU ambaye pia ni Seneta wa Baringo Gedion Moi na mkewe Zahra Moi wamepiga kura katika shule ya Msingi ya Tandui iliyoko Sacho Baringo ya kati. #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
1
9
Mbunge wa Westlands, Tim Wanyonyi anayetetea wadhifa wake amesema amepiga kura katika kituo cha KTTC Gigiri. Je, wewe umepiga kura? #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
1
13
Oson layer retweeted
Mgombea wa ugavana katika kaunti ya Mombasa kwa chama cha ODM, Abdulswamad Shariff Nassir alipiga kura katika Shule ya Msingi ya Mvita. #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
2
1
22
Mgombea wa urais wa Azimio, Raila Odinga alipiga kura katika Shule ya Msingi ya Kibra. Aliandamana na umati wa wafuasi wake hadi kituo cha kupigia kura. #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
1
10
Mgombea wa urais, Prof. Geoge Wajackoyah wa chama cha Roots amekosa kupiga kura asubuhi baada ya mitambo ya KIEMS kufeli. #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
1
8
Mama Ida Odinga amepiga kura katika shule ya Msingi ya Kibra #KIVUMBI2022 #HabariZaSasa #RadioZaidiYaRadio
4
147