Filter
Exclude
Time range
-
Near
Freude herrscht im Hause Stämpfli: Wir haben den ICT Education & Training Award in der Kategorie 21-100 ICT-Mitarbeitende gewonnen! Ein grosses Dankeschön an alle unsere Ausbildner und motivierten Lernenden. So fägts! #staempfli #kommunikation #ICTBerufsbildung #ICTAwards2021
0
3
0
6
Absa imetunukiwa kuwa TAASISI BORA YA FEDHA KWA KUTUMIA TEHAMA. Tunashukuru kwa usaidizi kutoka kwa wateja wetu na kwa kuendelea kuiamini benki yetu. #ICTAwards2021 #TAIC2021 #HuuNdioUafricanacity
0
2
0
3
Absa has been awarded as the BEST FINANCIAL INSTITUTION USING ICT. We gratefully appreciate the support from our customers and for continuing trusting our bank. #ICTAwards2021 #TAIC2021 #ThisIsAfricanacity #ThisIsAbsa
0
2
0
4
We made it to the Top 11 in the Product Category at ICT Awards 2021! Thank you ICT awards for the wonderful opportunity and for amazing exposure! #rahatplatform #rahataid #top11 #ictawards2021
0
2
0
6
1st Overall winner prize Presented to Apps and Girls ⁦@appsandgirls#ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
0
7
0
16
Congraturation to you @Sally_mosha you deserved the Award for the Best Innovative ICT. #ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
0
1
0
8
MKUTANO MKUU WA TEHAMA 2021 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alivyohudhuria Mkutano Mkuu wa Tehama na kutoa tuzo za #ICTAwards2021 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) leo Ijumaa, Oktoba 22. @wizarahmth @mwelasj @TZWaziriMkuu @ict_commission #TAIC2021
1
3
0
13
148
@CloudsMediaLive Chombo cha Habari Bora katika matumizi ya teknolojia ya Habari kwa Maendeleo. @millardayo Mwandishi Bora anayetumia vyema Teknolojia. Tumepokea tuzo hizi leo jijini Arusha. Shukrani @ict_commission #ICTAwards2021
7
12
1
132
#EastAfricaTV na @earadiofm zimepewa tuzo za ushiriki wake katika kufanikisha Mkutano Mkuu wa TEHAMA 2021 na imepokelewa na Mwakilishi @BarnabasMkongwe @wizarahmth @mwelasj @TZWaziriMkuu @ict_commission #ICTAwards2021 #TAIC2021
0
4
0
38
Pongezi kwa timu nzima ya @appsandgirls kwa kuhakikisha hakuna mtoto wa kike anaeachwa nyuma katika tehama! #ICTAwards2021 #Tanzania #TAIC2021
The 1st overall winner for the #ICTAwards2021 is Apps and Girls as the Best ICT Incubation Hub. Join us through:invidious.fdn.fr/zBZb27S3Zwo #TAIC2021 #TehamaTZ
1
0
0
4
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizarahmth imewakabidhi tuzo Rais @SuluhuSamia na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ikiwa ni kutambua nguvu kubwa wanayoiweka kwenye kukuza TEHAMA. @mwelasj @TZWaziriMkuu @ict_commission #ICTAwards2021 #TAIC2021
3
4
1
23
The Award for the Best Financial Technology Company goes to BCX #ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
0
1
0
8
The Award for the Best Financial Institution in Using ICT goes to ABSA ⁦@AbsaTanzania#ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
0
4
0
15
The Award for the Best ICT Transformative Institution on Provision of Health Services goes to Jakaya Kikwete Cardiac Institute. #ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
0
2
0
13
Washindi watatu bora wa jumla kwenye #ICTAwards2021 walipokabidhiwa tuzo zao na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Washindi hao ni:- 1. NALA 2. Apps and Girls 3. Wizara ya Fedha. @mwelasj @TZWaziriMkuu @ict_commission #ICTAwards2021 #TAIC2021
0
3
0
24
''Kwa mujibu wa Tathmini ya Usalama wa Mtandao Duniani inayoratibiwa na Shirika la Usalama, Tanzania imeshika nafasi ya 2 kwa Afrika kutoka nafasi ya 6 na ya 37 duniani kutoka 59 kwenye usalama wa Mtandao na hii ni kutokana na jitihada za Wizara'' #ICTAwards2021 #NipasheHabari
0
0
0
3
Show this thread
''Shukrani kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulibeba suala la TEHAMA Tanzania kwa mikono yote na kulifanya kuwa kipaumbele chake ''-Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Ashatu Kijaji. #ICTAwards2021 #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
0
0
0
0
Show this thread
''Waziri Mkuu hili ni Kongamano la Tano la kwanza lilianza mwaka 2017 na kwakweli la mwaka huu limefanyika kwa mafanikio makubwa, wadau mbalimbali wamejitokeza na kujadili masuala mbalimbali ya kuendeleza TEHAMA ili ichangie maendeleo ya Taifa'' -Samson Mwela #ICTAwards2021
1
1
0
4
Show this thread
MILANGO YA SERIKALI IPO WAZI. Katibu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia Dkt Zainab Chaula akizungumza na wataalam wa Tehama kuhusu maoni mapya katika maendeleo ya utumiaji wa kidigitali. @mwelasj @TZWaziriMkuu @ict_commission #ICTAwards2021 #TAIC2021
0
4
0
12
97
The Award for the Best Innovative ICT Student goes to Salome Mosha. #ICTAwards2021 #TAIC2021 #TehamaTZ
3
17
4
91